Thursday, May 3, 2012

AJALI MBAYA




Imetokea ajali mbaya ya basi iliyohusisha basi la NBC lililokua likitokea Tabora kuelekea  Arusha. chanzo cha ajali hiyo inasemekana ni kuchomoka kwa tairi la mbele la basi hilo  na kusababisha kukosa mwelekeo na kutoka nje ya barabara  na kugonga mti. 

             Ajali hiyo imesababisha vifo saba na majeruhi 54 huku watano wakiwa na hali mbaya sana.  Je, ajali Tanzania ni uzembe? barabara au mipango ya muumba? tafakari na uchukue hatua

No comments:

Post a Comment