Tuesday, January 31, 2012

Mmetupa raha sana Twiga stars....



 Kikosi cha Twiga Stars......So proud of these women..Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Twiga Stars.
Imefika wakati serikali yetu izidi kuboresha soka kwa wanawake nchini mwetu. kwa maana ni ukweli kwamba hii timu inatuwakilisha vyema na kuipa sifa nchi yetu. 
Picha asante issamichuzi.blogspot.com

sifa za mwanamke mnene!!!!!

            Mwanamke mnene ni mtamu sana, ana joto kali sana ndani ya uke, ana nyamanyama ambazo hazimuumizi mwanaume wakati wa kutoa mastyle, mwanamke mnene akikaa style ya chuma mboga basi lile sponji la nyuma loooote lasababisha maangamizi ya muda mfupi kwa abdalah kichwa wazi, mwanamke mnene ana degree ya kwenda miondoko ya r ...N b kitandani ambayo huwa so romantic na haitoi jasho, mwanamke mnene akivua nguo akalala kifudifudi basi mkaka hata kama anaangalia mpira lzm atadata, mwanamke mnene ana sifa ya kukojoa bila kumwaga maji mengi. happy wanene day vimbaumbau mnasonyajeeeeeee"

Monday, January 30, 2012

happy anniversary martha and himidi mungu awape maisha marefu na yenye amani

                              martha n hubby on their big day
                          martha n hubby
                          tunda lao "abiga"

amvalisha mpenzi wake pete ya ndoa akiwa amefariki so sad!!!!!!!


A man in Thailand Married a dead girlfriend to fulfill his promise of love.

29-year old Sarinya Kamsook and her 28-year-old boyfriend, Chadil Deffy, were to be married this year. Sarinya Kamsook unfortunately died in a car crash, just day before the big event, Deffy decided to go on with their wedding as planned and married her.

Sarinya was involved in a car crash, leaving her severely injured. She still could have been saved with timely medical attention. However, the doctors made her wait for 6 hours due to an overcrowded ICU instead of transferring her to another hospital. During this time, she succumbed to her injuries and passed away.
During her funeral in Surin, Thailand, Chadil Duffy placed a ring on his deceased bride’s finger. It thus turned out a wedding/funeral ceremony, one of the rare events in the world.

mrembo wa week grace mbuta!!!!!!!!!!!



                                           uko juu mama

                                       
                                kiofisi zaidi
                                 full kujiachia

Saturday, January 28, 2012

nipo njia panda naombeni ushauri please!!!!!!!!!!!

halo wadau,
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 nilikua na mpenzi wangu kwa takribani miaka 6 na tulifanikiwa kupata mtoto mmoja katika mahusiano yetu lakini hatujaoana, familia ya mume wangu haikunipenda kabisa kutoka na familia zetu kuwa tofauti katika masuala ya uchumi.mpenzi wangu alitokea kuishi katika familia yenye uwezo sana na mm nimetokea katika hali ya kawaida yani medium class mama mkwe wangu kahunipenda kabisa ila mwanae alinipenda sana.bahati mbaya au nzuri mpenzi wangu alipata safari ya kwenda uingereza kujiendeleza na masomo yake ya masters   tulikuwa tukiwasiliana vizuri tu ila baadae mpenzi wangu alikata mawasiliano ghafla na alikua akirudi tz alikua hanitafuti kabisa. nilikata tamaa na kuanzisha mahusiano na mwanaume mwingine. yupo tayari kulea mwanangu na nina furaha na maisha yangu tatizo huyo bf wangu wa  mwanzo karudi kimoja na anasema anataka kunioa nilipomuuliza kwa nn alikua ananifanyia yote hayo eti ni kwa sababu alikua ananipima penzi langu kwake je nikubali kurudiana nae au niachane nae naombeni ushauri please nisije nikamuacha huyu halafu nikaachwa kwenye mataa
email yangu kapuni please!!!!!!!!!!!!!!

Thursday, January 26, 2012

JAMANI MNAONA NGUO HIYO INA UZITO WA KILO 50 NDO IMEZINDULIWA JUZI NA DESIGNER STEPHANE ROLLAND ilibidi ashikiliwa na wakaka wawili manake c mchezo kudadadekiiiiiii

                                    hizo metals hapo  mbele ndo zilizoongeza kilo na hiyo peacock tail
                                         ila zuri kusema na ukwel
                                  hivi mtu 80 na unaongezewa kilo 50 za gauni  sijui huo uzito utakuaje??? inachoshajeeee

Watu wengi hua tunapenda kuiga fashion and styles kutoka kwa macelebrities....ila zingine tuache zipite tuu kama vipi


This top needs a Bra bwana...C'mon RIRI
Kuna watu watazoom mpaka basi...hapo mwisho jamani.mwisho kabisaaaaaa...wink

Wednesday, January 25, 2012

MAMBO YA JIKONI: VIAZI MASALA

Mahitaji:
Viazi mviringo
Nyanya ya kopo
Vitunguu swaumu
Ndimu
Chumvi
Mafuta ya Kupikia
Pilipili Manga
Methi
Spices zozote za chakula uzipendazo


Jinsi ya Kuandaa
Menya viazi. Vioshe na vichemshe. vikiiva viepue, visiive sana maana vitapondeka pondeka wakati wa kupika, na kupoteza maana halisi ya chakula.
Menya na kutwanga vitunguu swaumu vyako, viwe vingi ndio vinaleta ladha ya chakula hiki . Weka mafuta, weka vitunguu swaumu ongeza methi na viungo vyako unavyotumia kuongeza ladha ya chakula. Vikishakua vya brown weka  nyanya ya kopo, weka na maji kidogo ili kutengeneza roast nzito, weka pilipili mtama, ndimu na chumvi . Sasa weka viazi vyako huku unakoroga mpaka viazi vyako vipate roast. wacha vichemke kidogo.Chakula kitakua tayari kwa kuliwa.


                                      Chakula hiki kinaweza kuliwa mkate, au chapati. 

Tuesday, January 24, 2012

Couple of the DAY.....TID and Kinanas.OMG, dont they look good together?

  One of the couples ninazozikubali sana Bongo....They dress and look like real celebrities. Hata wakisimama kwenye Red carpet unakubali  tu mwenyewe kimoyo moyo....beeeeeeeepppp!!!!!!

Celebrity Splits 2012....Talaka zionaongozana tuu..kunani palee?


           Katy Perry na Russell Brand  walioana October 2010 na wameamua kuachana january 2012. Katy Perry ameamua kumfuta Russel katika followers wake in twitter baada ya talaka yao.

    Heidi Klum and Seal   wana 8 years of marriage, four Children, ila wameachana mwaka huu. KISA? Heidi ameshindwa kumvumilia Seal, kwa sababu hawezi kucontrol Temper yake. Seal ameeleza kua, ataendelea kuvaa Pete yake ya ndoa, kama heshima na upendo aliokua nao kwa  aliyekua mke wake.


Fat Joe(Joseph Cartegena) na Wife wake Lorena Cartegena wako ndani ya ndoa for 17 years. Ila mwaka huu, Inasemekana kwamba wanaweza kuachana, kwa sababu Fat Joe anachakachua ndoa yake na msichana mwingine raia wa Dubai. Fat Joe ambae recently amepunguza mwili wake kutoka 160 Kg mpaka 113kg  kwa sasa, hajazungumza lolote kuhusu swala hili. 

Sunday, January 22, 2012

Happy Anniversary Mr&Mrs. David


    Happy Anniversary and may your Marriage Be Blessed with love, joy and companionship For all of the years of your Lives

Happy Birthday Evelyne Gotora




           May today be filled with sunshine and smiles, laughter and love. We love u

Saturday, January 21, 2012

Long distance Love Is Killing Me jamani....Naombeni ushauri wenu


Mimi ni msichana, nina umri wa miaka 26, nina boyfriend, na tumeshatambulishana kwa wazazi. Mimi niko nje kimasomo, boyfriend yuko Tanzania. Ila kila mwaka summer hua naenda nyumbani kusalimia. Tatizo langu ni hili, nikiwepo nyumbani Tanzania, mwanaume anakua ananijali, ananiheshimu. Yaani nakua na furaha na amani. Ila nikisharudi shule tu, anaanza vituko, mara yuko na wanawake wengine. Wanawake zake wananitafuta na kunitukana, tunakua kila siku ni ugomvi na hamna amani. Na nikifikia uamuzi wa kumuacha, ananiomba msamaha, anasema anafanya yote hayo kwa sababu niko mbali. Na anasema hawezi kupeleka msichana mwingine kwao, kwa sababu wananijua tayari, na wananipenda sana. Na anasema yeye anaamini future yake iko na mimi tu. Mtu wa hivi nimueleweje jamani?ananipenda kweli? 

Weekend ndio hii imefika. Week nzima umeitumia kufanya kazi, na weekend ndio muda mzuri wa kuspend na familia yako. Wewe utaspend vipi weekend yako?

                  Watoto wakiwa sehemu za kuchezea, hii ni moja ya sehemu unaweza kwenda na mwanao
                                    Hii ni Tanzania yetu, wala si ulaya. Siku moja moja si mbaya
      Ukiwa nje ya nchi, siku za sikukuu au weekend, utaona wazazi, wakiwa na watoto wao, wakitembea sehemu mbalimbali, madukani, sehemu za michezo..ili mradi familia ipo pamoja.
      Ila kwa Tanzania yetu, mara chache utakuta wazazi wametoka na watoto wao, baba atatoka peke yake, au zaidi atatoka na mkewe.
      Hebu wazazi tujitahidi weekend moja, baba na mama, tuende sehemu, na watoto wetu. Vitu kama hivi hujenga uhusiano mzuri ndani ya familia.
     Angalau  4hours mkae na watoto,katika mazingira ya tofauti na nyumbani then usiku wazazi muende mnakotaka, kama bar, mziki etc..siku hizi Bongo yetu imeendelea banaa..sehemu nyingi tulivu za kukaa kifamilia.Watoto nao wanastahili kutoka, na kufurahi mazingira tofauti na nyumbani.

Friday, January 20, 2012

MWANAMKE JUA KUPANGILIA MAKE UP ZAKO... KUTUTOKEA KITUKO HAIHUUUU


How to Apply Makeup in 7 Easy Steps.
It is best to get used in applying moisturizer about 10 minutes before beginning your make-up application.

Step 1 :Choose foundation that matches your skin tone exactly. Foundation may be applied using your fingertip or a makeup sponge. Blend it out until it covers your entire face.

Step 2: Use a loose or pressed powder to set the foundation on longer. Then use a large, soft powder brush to dust off any excess powder.

Step 3: Do your eyebrows next. Use powdered eyebrow shadow on brows instead this gives you an elegant yet natural look.
Step 4 :Choose three colors of eye shadow. On the eyelid on the left the colors should be blended and the ‘hard edges’ should be softened. This is the effect to be aimed for so as when the eyes are open, the softening effect of blending is clear.

Step 5: Lifting your chin while looking down, stroke the mascara through your top lashes, combing them upwards. Mascara applied to the lower lashes often smudges under the eye, and looks messy halfway through the day.

Step 6 :Smile to find the apples of your cheeks, and apply blush to the apples or below. To add definition to the cheekbone or to slim the face, the shading color is applied in a curved shape below the cheekbone.

Step 7 :Finish with a lipstick color that’s suited to your skin tone and that’s perfect for your night or day look. Your lipstick can make or break your look. Whether you aim for a natural or dark lipstick color, aim to achieve a balanced overall effect.

We Got a Bosslady in Nyumbani Kwetu...We are Presenting Monty

Howt
                                                     


                                                                 Classy
                                                                  So beutiful.........
                                                         Loving and caring Mom....
                                                           Got to love her swag....
Picha zinajieleza jamaniii...Sexy, hardworking, and loving mom.Wishing u all the best in everything you do Monty...NK loves u so much...




Wednesday, January 18, 2012

Happy Birthday Martha David

 Leo ni siku ya kuzaliwa ya one of the flowers in Nk; Martha David

 


Nyumbani kwetu inakutakia maisha marefu, yenye furaha na mafanikio. We love you Martha