Saturday, May 26, 2012

Dini inapogeuzwa biashara

Hili ndilo tangazo linalowahamasisha watu kwenda kanisani Jumapili.
Ukiangalia hii video utamuona jinsi Pastor alivyo na swagga, na nyimbo zinazoimbwa kanisani ni RnB ambazo pia Pastor anashiriki kuziimba. 

No comments:

Post a Comment