Friday, May 18, 2012

MAMIA WAJITOKEZA KUMUAGA MAFISANGO.

Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa wamebeba mwili wa mchezaji mwenzao Patric Mafisango kuuingiza katika Uwanja wa TCC, Chang'pmbe.
Waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni.
Mamia ya waombolezaji waliojitokeza.
Leonard Thadeo akiteta jambo na Azim Dewji.

No comments:

Post a Comment