Tuesday, March 20, 2012

PESA NGUMU JAMANI !!!!!!!!

Justin Bieber amekuwa gumzo leo kwenye mtandao wa twitter baada kutwitt pics zake mpya akiwa ulingoni na anatokwa na damu mdomoni... 
Hapa alikula konde la maana ...lol
bieber kazini!!!!
Kumbe yooooote haya ilikuwa ni photo shoot for Complex Magazine,Jipatie kopi yako kwa maelezo zaidi. lolest.



No comments:

Post a Comment