Wednesday, March 21, 2012

Masikini KAJALA...............

Habari zilizo chini ya carpet zinasema msanii wa bongo movie Kajala Masanja ametupwa jela kwa muda wa miaka 7.Wiki iliyopita Kajala alipelekwa mahakamani kwa kesi ya kutumia mali zisizo za halali....More news to come !!!!!!

No comments:

Post a Comment