Thursday, March 22, 2012

LOL...........

Familia Moja Nchini England imeamua kujenga nyumba yenye nightclub ndani ili kuwasaidia watoto wasiwe wanaenda nightclubs. Inasemekana nyumba hii imeigharimu hiyo familia kiasi cha Euro 1m ambazo ni sawa  na 2.1 billions tshs.... Claire Farrow and Ian Hogarth from West Kensington wamesema wameamua fanya hivyo kwaajili ya kuwaepusha watoto wao na matatizo ya nightclubs za nje.
 Huu ndo muonekano wa nyumba yenyewe "dream home" kwa Nje...
Hii ndo dance floor yenyewe ipo kwenye basement .
Tilly (miaka 12,katikati) akiwa ame invite wenzie siku ya ufunguzi wa nyumba hiyo. Tilly ni mtoto wa pili ,wakwanza ni Gil ambaye ana miaka 16 na anapenda kazi ya u'DJ. Waswahili wanasema tumia pesa ukuzoea !!!!

No comments:

Post a Comment