Inasemekana; Ukinywa juice ya tunda la komamanga (pomegranate) nusu lita kila siku kwa muda wa mwezi mmoja, inasaidia kupunguza mafuta tumboni.
Pia komamanga inasaidia kuzuia kansa ya matiti isitambae mwilini.
Wale wenye vitambi mpooo? na wale kina mama je? Naanzaje kua mteja no.1 wa haya matunda? xoxoxoxooo
No comments:
Post a Comment