Tuesday, March 20, 2012

GOD IS GREAT !!! Atlast Fabrice Muamba aanza kuongea .

Tarehe 17/03/2012 dunia ilipatwa na mshtuko baada ya kiungo wa bolton wanderers "Fabrice Muamba" kuanguka uwanjani na kupoteza fahamu "kuzirai'' baada kupata heart attack ,aliwaishwa hospitali na alikuwa kwenye coma toka Jumamosi "17/03/2012" ila good news ni kwamba........
hapa akiwa Press conference mwaka jana 2011 .
Muamba na his son "Joshua"
F.Muamba with his delighted fiancée Shauna Magunda
Hii ndiyo siku ya tukio F.Muamba alipoanguka na kupoteza fahamu .

Habari kutoka hospitali leo zinasema jamaa ameanza kuongea nanukuu alichokiongea mchumba wake shauna ..... " the midfielder spoke for the first time since he collapsed after a cardiac arrest on Saturday, his delighted fiancée Shauna Magunda announced to worried fans their prayers had been answered.
The 27-year-old, mother of his son Joshua, three, tweeted: “All your prayers are working people thank u so so much. Every prayer makes him stronger. To God be the glory.”
Later she wrote: "Fabrice has felt every single prayer guys you've been INCREDIBLE!!!. Thank u all so so much I love and appreciate u all. Thank u again xx".
F.Muamba alizaliwa Kinshasa-Congo 1988 na alikimbilia England akiwa na miaka 11 kutokana na vita nchini Congo zamani ikiitwa Zaire akabadili Uraia na kuwa raia wa England na Anaichezea timu ya taifa ya England under 21,alishawahi chezea club ya Arsenal na Birmingham City zote za England.
UDAKU: Inasemakana Neno la kwanza Fabrice Muamba Kuliongea lilikuwa "Where is Josh? Joshua ni mtoto wa muamba na fiencee wake shauna. God is Great Always, NK WISH YOU A QUICK RECOVERY FABRICE MUAMBA.


No comments:

Post a Comment