Friday, February 3, 2012

WATZ TUJIFUNZE KUAPPRECIATE MAFANIKIO!!!!!!!!!!!!!

5days zikiwa zimepita toka mtoto wa makamba "Mwammy"   alipolifungua Jumba lake jipya ambalo limemgharimu almost 950,000$ sawa na 1.4 billions kwa tshs ,Maneno yameanza kuzidi mitaani!!

Wakihojiwa watu kwa nyakati tofauti ,wapo waliosema "Kanunua wapi? hiyo nyumba ni ya baba yake ipo mikocheni ila kampa bintiye kuficha shutuma zinazomkabili ,wapo waliosema she can't afford to buy that kind of crib may be ka amehongwa na mzungu wake,wengine walisema may be atakuwa fisadi na mengine mengi.....khaaaa? Mwammy dont give up, obstacles zipo kila sehemu ,wivuuuuu tu! Who run the world ????? Girlssssss!!!!!

No comments:

Post a Comment