Friday, February 3, 2012

TUKIWA TUNAELEKEA WEEKEND .....SWAGA MPYA MTAANI

Men! Mnawaza mtoke vipi weekend hii,kaazi kwenu sasa!!!



Picha ya kwanza ni model akionyesha vazi la skirt na koti,picha ya pili ni mtu mzima mwenyewe sean combs a.k.a diddy akiperform kwenye shows zake na vazi hilo hilo skirt na koti,picha ya tatu ni Kanye west akiwa the same vazi "swagga",ya mwisho ni models wakionesha njinsi hata wavulina wanaweza wakapendeza kwenye vazi la skirt.   Mmmmmmh! Tunapoelekea....lol

No comments:

Post a Comment