Sunday, February 12, 2012

at the end Kombe limeenda Zambiaaaaaaaaa

    Game ilikua nzuri sana.kombe liende kwa nani iliamulia na penalties. It is a shock kwa watu wengi kua Zambia wamechukua kombe kwa mwaka huu. Happy for Zambians, hope next time nitakua naishangilia timu ya kwetu Tanzania...

No comments:

Post a Comment