Tuesday, January 17, 2012

Rihanna Crying for Chris Brown?

Baada ya habari kutoka kua Chris Brown ameweka tattoo yenye sura ya mpenzi wake mpya Karrueche mkononi,na kua yuko serious na mpenzi wake huyo, Rihanna ameonekana  akivuta Bangi nje nje huko Hawaii leo.

       Chris Brown akiwa na girlfriend wake wa sasa  Karrueche

         Enzi zao, Rihanna na Chris Brown


           Rihanna leo huko Hawaii

     Hapa akisikilizia flavour...

Rihanna amekua akiTweet


: "Cuz of u I'm on some real f*** a n**** s***!" 

: "U wanna be my main squeeze n****, don't ya?" and blasted: "So what n****, I'm not tryna hear that s***!"

Maneno haya yanaonyesha ni jinsi gani bibie yuko so lonely.

Rihanna na Chris Brown waliachana rasmi 2009 baada ya Chris Brown kumpa kipigo Rihanna. Hata baada ya ugomvi ilisikika kua wapenzi hao walirudiana.Ila baadae Rihanna alipinga vikali habari hiyo, na kusema kua, hawezi kua na Chris Brown kwa sababu kufanya hivyo ni kuonyesha mfano mbaya kwa Fans wake.Nia yake ni kuonyesha vitendo vya unyanyasaji wa wanawake visifumbiwe macho.

Chris alitoka na nyimbo nyingi za kubembeleza zikiwemo Changed man na Hollow ambazo hazikuonekana kubadilisha hali ya uhusiano wao na Rihanna.

RiRi vipi mamaaa…...uliusemea moyo nini!!!?

No comments:

Post a Comment