Friday, January 13, 2012

ASTRO NA CHER LLOYDS WAMEPERFORM TOGETHER IN THIS TRACK-WANT U BACK!!!!!!!!!!!!

  
album yake huo ndo uzuri wa watoto wa nje Astro ni kijana mwenye umri wa miaka 15 alianza kupata umaarufu alipo shiriki kwenye american x factor  kama rapper alishanganza ulimwengu kwa kipaji chake cha kutunga mashairi na kurap  kama mtu aliyekubuhu kwenye fan welldone boy...cher lloyd uk x-factor no 4 winner 2010 she is 19 kashatoa wanakuzwa vipaji bado watotoo

No comments:

Post a Comment