Big Brother imeshataja superstars saba watakaowakilisha nchi zao ndani ya BBA. Nchi hizo ni Zambia, South Africa, Kenya, Zimbabwe,Nigeria,Namibia na Ghana. Ingawa Tanzania haijatajwa mmoja kati ya hawa anadaiwa kuiwakilisha Tanzania ndani ya BBA 2012.
Wema
Unatamani kujua ni nani aliechaguliwa kutuwakilisha eehh???stay tuned...!!!!
Jocate
HemediWema
Unatamani kujua ni nani aliechaguliwa kutuwakilisha eehh???stay tuned...!!!!
No comments:
Post a Comment