Thursday, May 17, 2012

Hapa napo vipi???

























Hii picha nimekutana nayo facebook. Maana halisi ya picha ni kuwa, kunapokua na ugomvi kati ya mwanaume na mwanaume mwenzie wanaweza kupatana ndani ya dakika tano, ila wakigombana wanawake wanaweza kununiana,na hata baada ya miaka 20 wakikutana wanaweza wasiongee. Sijui kama kuna ukweli hapa au la. "alafu nahisi aliyekichora hiki kikatuni ni mwanaume" lol
     Baada ya hapa ni kununiana kusikoisha...

No comments:

Post a Comment