Bob Makani Afariki dunia
Aliyekua Mwenyekiti wa CHADEMA Mohamed Nyanga naejuliana sana kwa jina la Bob Makani , amefariki jana. Marehemu Bob Makani Inasemekana chanzo cha kifo, ni kuugua kwa muda mrefu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema. Amen
No comments:
Post a Comment