Monday, April 16, 2012

SIMON COWELL CANCELLED ENGAGEMENT WITH GIRLFRIEND MEZHGAN BUT LET HER KEEP £5 MIL HOME


Mmoja wa matajiri wanaojulikana uingereza na marekani simon cowel anaemiliki xfactor uk and us amecancel ingagement yake na binti wa kiafghan na pia make-up artist Mezhgan hussainy kwa kukili anaona sio mwanamke anaezani atamfaa katika maisha yake.mezhgan amekua akikasirika kwa ubusy na urafiki wa karibu wa simon na vibinti vya mujini kwa madai ni urafiki wa kazi hata hivyo simon amemkabidhi binti huyo nyumba yenye gharama ya pound mil 5 iliyopo mji mkuu wa marekani beverly hills. kama si raha ni nini hiyo wapigwa kibuti lakini wachekelea sio wapigwa kibuti na madharau kedekede inahuuuuuu!!!!!!

No comments:

Post a Comment