Tuesday, April 17, 2012

Jay-Z & Beyonce

Jay-Z na mkewe Beyonce last weekend walienda kuangali mechi ya kikapu maarufu kama NBA kati ya Miami heat na New York Knicks ,Ambapo Miami heat waliibuka na ushindi wa vikapu 93 dhidi ya 85  vya NY knicks.
Hapa wakiwa wanaingia Madison Square Garden.
Ni time yakushow luv ,let me guess alikuwa anamwambia nini.... Ur so pretty my luv ..lol.
This time ilikuwa 4 beyonce kushow luv kwa husband wake..... to be honest "They look lovely "

No comments:

Post a Comment