Sunday, May 13, 2012

Washiriki wa BBA kutoka Tanzania watolewa

Washiriki wawili waliokuwa wakiiwakilisha Tanzania kwenye Big Brother Africa nchini Africa Kusini Julio na Imelda wametolewa usiku huu. Mshiriki mwingine pia kutoka Zimbambwe ametolewa kwenye Jumba hilo. Stay tuned kwa habari zaidi

No comments:

Post a Comment