Saturday, May 5, 2012

TANZANIA ALL STAR- MBONI YANGU

hiyo ndo nyimbo iliyoimbwa na wasanii mbalimbali wa tanzania ili kuongeza mfuko wa pesa wa kumsaidia star wa bongo movies sajuki anaesumbuliwa na uvimbe tumboni kwenda kutibiwa  india ila habari zilizopo chini ya carpet ni kwamba sajuki ameshakatiwa tiketi yeye na mke wake ya kwenda na kurudi na msamaria mwema mungu awaongezee watoaji wotee. hongereni sana mastaa wa bongo kwa uhamasishaji huo mmeonesha big support

No comments:

Post a Comment