Kama wewe ni mpenzi wa Bongo Fleva jina la Solo Thang aka Ulamaa si geni kwako. Huyu ni mwanamuziki alietamba sana kwa nyimbo kama Mambo ya pwani, Homa ya Dunia,Kilio changu na nyingine nyingi. Kuanzia January 2012 ameachia ulbum yake mpya inayoitwa I AM TRAVELLAH VOL. 1 ambayo ameshirikisha wanamuziki kama Jay Moe, Linah, Chidy Benz, na July 2012 anatarajia kuachia ulbum nyingine inayoenda kwa jina la I AM
http://www.reverbnation.com/solothangakatravellah
Na ukipenda kununua Ulbum hiyo unaweza kuipata kupitia
http://www.tescoentertainment.com/store/mp3/solo-thang-a-k-a-ulamaa-i-am-travellah/2%3a62718251
Mtembelee Solo Thang kwenye Blog yake http://www.solothang.blogspot.com/search?updated-max=2012-02-07T11:27:00-08:00&max-results=7
and follow him on Twitter @TeamSOLOThang
TRAVELLAH Vol. 2.
Kuweza kusikiliza nyimbo zinazopatikana kwenye ulbum hiyo tembelea
http://www.reverbnation.com/solothangakatravellah
Na ukipenda kununua Ulbum hiyo unaweza kuipata kupitia
http://www.tescoentertainment.com/store/mp3/solo-thang-a-k-a-ulamaa-i-am-travellah/2%3a62718251
Mtembelee Solo Thang kwenye Blog yake http://www.solothang.blogspot.com/search?updated-max=2012-02-07T11:27:00-08:00&max-results=7
and follow him on Twitter @TeamSOLOThang
No comments:
Post a Comment