Hiki kikombe kilikitumika na Lady Gaga kwa siku moja tu na kupigwa mnada, watu zaidi ya
1300 walivutiwa na kutaka kukinunua, ila mwisho wa siku kikombe hicho na kisahani chake kiliuzwa kwa pesa sawa na mil 95Tsh. Hela hizo zilizopatikana zitatumika kuwasaidia wasanii waliokumbwa na maafa ya Tsunami 2011 huko Japan.
Lady Gaga.

No comments:
Post a Comment