Saturday, May 12, 2012

Happy Mother's Day to all Mamas in the world

A song For Mama-Boyz 2 Men

    Nina hakika kila mtu akipewa nafasi aeleze umuhimu wa mama yake maishani mwake, atajaza kurasa. Haijalishi yuko hai au la, ila uwepo wake maishani mwako, umekufanya wewe uwe ulivyo sasa. Tuwathamani na kuwapenda mama zetu. Na siku ya leo, si mbaya ukampa zawadi mama yako, kumuonyesha upendo na thamani yake kwako.
   Mother's love is the fuel that enables a normal human being to do the impossible.  ~Marion C. Garretty.
 Happy Mothers day all Moms In the world

No comments:

Post a Comment