Saturday, May 12, 2012

Couple ya leo

                         Justin Bieber na  Selena Gomez
 Justin Bieber ametimiza miaka 18 mwaka huu, na Selene anatarajia kutimiza miaka 20 July 22 mwaka huu
Hapa Justin Bieber akiwa na mama yake, Justin ametoa wimbo maalumu kwa mama yake ikiwa ni zawadi kwa ajili ya " Mother's Day". Wimbo huo unajulikana kwa  jina la "Turn To You" umeshaanza kupatikana kwenye Itunes kuanzia jana Ijumaa.

No comments:

Post a Comment