Thursday, April 5, 2012

Kanye West akiri kumzimia Kim Kardashian mnooo

Kim Kardashian akiwa na Kanye West 
Storry iko hivi:Kanye aliachana na Amber Rose baada ya Kanye kumcheat na TV star mmoja, ambae kwa sasa inaaminika kua TV star huyo ni Kim Kardashian. Kwenye wimbo р mpya wa Kanye wa "Theraflu" Kanye anakiri kuwa na strong feelings for Kim K.
 Pia kwenye wimbo wa Dj Khaled kuna mstari wa Kanye anasema "And I'll admit, I fell in love with KIM. 'Round the same time she had fell in love with HIM." hapa "him" kanye anamzungumzia Kris Humphries ambae alikua mume wa Kim kwenye ndoa iliyodumu kwa miezi mitatu tu.
 Siku za karibuni Kanye na Kim wamekua wakionekana pamoja sehemu mbalimbali na inasemekana kwamba wamerudiana. It seems like waliachana  huku bado wanapendana, haya Kanye all the best,maana ukiharibu na hapa imekula kwako,maana kule Wizy Khalifa kashabana.

No comments:

Post a Comment