Saturday, April 21, 2012

Rihanna vipi tenaa!!???

Jana Rihanna alitweet "'first date in two years"  Ok, was happy kuona kua RiRi went back on her feet na kuamua kudate baada ya story nyingi kumuhusu, ikiwemo ya kurudiana na Chris Brown kisirisiri.Na hivi ndivyo mambo yalivyokuwa jana

Rihanna na best friend wake Melissa Forde jana wakitoka kwenye date yaoiliyofanyika jana. na  baada ya hapo RiRi alimtweet Melissa "datenight my lover for the night @mforde11 
Rihanna amekua akitwaja kuwa Lesbian na kua na mahusiano ya kimapenzi na rafiki yake huyo wa kike  mara kwa mara. Na tuhuma hizo zilizidi baada ya kutoa wimbo wa Te Amo ambao unazungumzia mahusiano ya kimapenzi baina ya wanawake wawili. 

No comments:

Post a Comment