Thursday, March 8, 2012

Bungo raha yake ni chumvi na pilipili kwa mbaliii...

      Sijui ni mimi tu, hii picha inanipa tabu kweli kweli. Hii ni moja ya sababu inayofanya nyumbani kusifanane na sehemu yeyote ile.Vitu kama hivi nchi za watu adimu sana.

No comments:

Post a Comment