Friday, February 24, 2012

happy birthday queen aka boss lady wishing you more years of happiness!!!!!!!!



mapenzi kizunguzungu

Men you can also try this hair style lolest!!!!!!!!!!!





Will Chris Brown Go to jail for 5 years!!!????

Mtandao wa mediatakeout umeandika kua Mwanamuziki Chris Brown anaweza kwenda jela kwa Miaka 5 kwa kosa la  kumnyang'anya simu msichana aitwaye Christal Spam. Christal ameeleza kua yeye na marafiki zake walikua wanamfatilia Chris na  kumpiga picha wakati anatoka club. Inasemekana Chris alimnya'nganya Simu Christal ili asiweze kuziweka picha hizo kwenye websites. God, sijui hizi habari ni za kweli!!?Crossing my fingers, Hope it's not true. 

Thursday, February 23, 2012

Rihanna and Chris Brown Reunion.....


nyimbo ya chris brown akimshirikisha rihanna -turn up the music
                      nyimbo ya rihanna akimshirikisha chris-Birthday cake
nikiongelea reunion naongelea nyimbo sio  mapenzi mmmh watu washafikiria vingine but may be soon or later it will be another story let keep hoping for the best

Wednesday, February 22, 2012

Je wajua?....Urusi wanasherehekea Men's Day leo Tar 23 feb

Tarehe 23.02 kila mwaka Warusi husherehekea sikukuu ya wanaume na watu hawaendi makazini wala shuleni kwa maana ni sikukuu kubwa ya Kitaifa. Sikukuu hii ni maalumu kwa kuwakumbuka wanaume wote waliopigana vita kuitetea nchi yao hasa vita ya pili vya Dunia ambapo wanaume wengi walipoteza maisha  kuitetea nchi yao dhidi ya Adolf Hitler aliyeivamia Urusi mwaka 1941 by then ikiitwa USSR. 
 Siku kama ya leo wanaume hua wanapewa zawadi mbalimbali, maua, kuimbiwa  nk (yaani kiujumla leo ni siku yao ya kudeka na kupewa full attention na kua treated like Kings)

   
   Leo wanawake wanaumiza vichwa kujua nini cha kununua au wafanye vipi kufanikisha sherehe hii. Happy Men's day to all Men living in Russia, and all over the world. 

CELEBRITIES COLOUR BLOCKING!!!!!

              MICHELLE OBAMA
                                         RI-RI
                                         mchizi wangu
Solange knowles
                                 cherly cole
                                                  jennifer hudson
                                          shingai shoniwa
                                            Alexandra burk
kim kardashian
                                 camilla Belle