Thursday, February 2, 2012

**EXCLUSIVE **:”Ur not gonna believe this” Simon Cowell Is ready to offer big cash 2 BEYONCE 2 be a Judge On X-Factor .


Move over Oprah, beyonce  anaweza akawa wealthiest entertainer duniani but hii ni kama atakubali offer kutoka kwa simon cowell ambaye amasema yupo tayari kumoffa kiasi cha $500M sawa na 750billions kwa tshs.
                     
Hatua hii imekuja baada ya Jennifer Lopez kuchukua deal la ku host American Idol na simon akasema ilikuivutia show na kuleta upinzani anahitaji mtu ambaye ni hot kwa sasa na akasema yupo tayari kumpa hicho kitita beyonce coz she is hot now .

                    
 OMG…Mama blue ivy U betta take It……Kweli ukiwa nacho utaongezewa!!!!!!!

2nd Exclusive : BEYONCE hired 6 nannies to 
take care of her baby blue “24 hours”.ishhh!! 

Ikiwa mtoto wa beyonce & Jigga anaelekea kutimiza mwezi 
inasemakana mama  mtoto ameamua kuajiri walezi 6 wa mtoto  
wake Blue Ivy Carter , ambao watakuwa  wanapokezana in 
24hrs,mwenyewe beyonce amesema anataka ku make sure her 
daughter has the best of care. 
This is too much kwakweli!!!!!!

                            





HAPPY FAMILY!!! Alicia Keys & Her Hubby “Swizz beats” at the beach ….With Their ADORABLE SON!

what a best looking couple!!!

Hapa wakiwa kwenye beach wana have funny na mtoto wao wa pekee "Egypt Daoud Dean". Tujifunze jamani familia bora sio mboga 7 tu bali na mambo ya outing kwa watoto wetu ni kitu cha umuhimu ndugu zangu !!!!!!!

WEMA SEPETU ROCKING WITH HER NEW RIDE



Wednesday, February 1, 2012

Happy Anniversary Mr&Mrs. Philemon


















Maria and her hubby Pilomen wakiwa na baby wao Joyce





































Siku ya harusi yao ndivyo mambo yalivyokua hivi....tunawaombea furaha, ndoa yenu idumu, Mungu awaongoze, awazidishie amani na upendo. Congratulations to you 

cheka na ze orijino komedi-mtoto umleavyo ndo akuavyo

                                              


                       uwiiiiiiiiiiiii joti anapewaje mikong'otoooo??

tulisa uk x factor judge kamdampu mpenzi wake fazer kisa kaomba wafunge ndoa na wazae mtoto mmmmhhhhhhh

 
                                   mrembo tulisa na fazer
                     tulisa with on xfactor judge panel with louis walsh,kelly Roland and garry barrow

Happy Birthday Khadija