she works as model in a company called star for motion
in belgium more pics to come when she is doing her thing
on stage.... nyumbani kwetu is wishing u best of luck!!!!!
Monday, January 16, 2012
Matumizi ya Bicarbonate of Soda (Unga wa Soda) kwenye usafi.
Bicarbonate of Soda mbali ya kutumika kwenye mapishi, inaweza kutumika kwa ajili ya usafi mbalimbali. Kwa mfano kwa ajili ya kusafishia tiles, sink la mikono, Bath tube na choo. Nyunyiza bicarbonate of soda katika sink au sehemu unayotaka kusafisha, changanya na sabuni ya unga. Baada ya dakika 5 mimina cocacola kidogo, chukua mao lifunge na steel wire usugue vizuri. Kisha mwagia maji safi.
Sunday, January 15, 2012
Jana pale Savannah-Quality Center walikutana Members we Group la Nyumbani.Na hivi ndivyo ilivyokua
Wakiwa katika picha ya pamoja
Warembo wa Nyumani haoo
Wadada hao..ilikua na furaha kwenda mbele Pamoja na kufurahia kukutana kwao, walipeana nasaha..dada Sabra akizungumza jambo la muhimu, huku akionyesha msisitizo
mhhhhhh
wacha weeee
Mashallah
mambo yalikua kama hivi
Divas
Flowers
Tabasamu zilitawala jana
Flower hiyoo
Saturday, January 14, 2012
Sean Paul-She doesn't Mind
Sean Paul is back jamani. Kama haujisikii kutoka weekend kama hii, ukisikiliza huu wimbo lazima mood ije tu. Weekend njema wadau
Friday, January 13, 2012
ASTRO NA CHER LLOYDS WAMEPERFORM TOGETHER IN THIS TRACK-WANT U BACK!!!!!!!!!!!!
album yake huo ndo uzuri wa watoto wa nje Astro ni kijana mwenye umri wa miaka 15 alianza kupata umaarufu alipo shiriki kwenye american x factor kama rapper alishanganza ulimwengu kwa kipaji chake cha kutunga mashairi na kurap kama mtu aliyekubuhu kwenye fan welldone boy...cher lloyd uk x-factor no 4 winner 2010 she is 19 kashatoa wanakuzwa vipaji bado watotoo
Subscribe to:
Posts (Atom)



















